Unachezaje Bab Kubwa Jackpot?

Kucheza Bab Kubwa Jackpot ni simpo. Angalia orodha ya mechi 17 kwenye ukurasa wa Jackpot na bashiri matokeo ya mechi 12 hadi 17 uzipendazo. Unaweza kubashiri kwenye orodha ya mechi uzipendazo kwa kubofya mara moja tu. Lakini pia kama una wasiwasi na unaweza kubashiri zaidi ya chaguo mmoja kwa mechi; uamuzi ni wako kubashiri chaguo zaidi ya moja kwenye mechi na mengine yakasalia vilevile.

Zawadi gani unapata kwenye Bab Kubwa Jackpot?

Una nafasi ya kushinda mkwanja mrefu kwenye Bab Kubwa Jackpot. Mechi 12 ushindi milioni 75, Mechi 13 ushindi milioni 125, Mechi 14 ushindi milioni 200, Mechi 15 ushindi milioni 350, Mechi 16 ushindi milioni 600, Mechi 17 ushindi bilioni 1. Unaweza kuwa Bilionea kwa kucheza Bab Kubwa Jackpot kwa TSh 1,000 tu.

Anza safari yako ya kubashiri mtandaoni nasi

Bashiri na wababe wa kubashiri michezo mtandaoni, huku ukifurahia maelfu ya mechi kutoka Duniani kote na machaguo lukuki ya kubashiri. Anza safari yako ya kubashiri michuano, ligi na mechi uzipendazo. Pia utaenjoy ofa za kila siku kubusti safari yako ya kubashiri isiwe ya kinyonge.

18

Media Bay Limited iliyopo 429 Mahando Street, Masaki, Msasani Peninsula. P.O. Box 38568, Dar es Salaam, Tanzania, imepewa leseni na kusimamiwa na Wizara ya Fedha na Mipango Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Tanzania chini ya leseni Na. SBI000000037 na OC000000019. Hakuna watu walio chini ya umri wa miaka 18 wanaoruhusiwa kucheza kamari. Washindi wanajua wakati wa kuacha. Onyo: Kamari inahusisha hatari. Kwa kucheza kamari kwenye tovuti hii, unakuwa kwenye hatari ambayo unaweza kupoteza


version : 1.0.0


Pakua App ya Betway bofya kitufe husika ili kupakua