Jinsi ya kucheza Virtuals
Michezo ya Virtual ni rahisi mno kucheza. Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye akaunti yako ya Betway na bofya “Virtuals” kwenye tovuti au App na chagua mchezo uupendao na kila mchezo unaouchagua unaweza kusoma maelezo yake na sheria pia.
Je, ni kitu gani utegemee kwenye Michezo ya Virtual
Moja ya sifa kubwa ya michezo ya Virtuals ni rahisi kucheza, lakini pia inamuonekana mzuri na picha ang’avu za kuvutia. Pamoja na matumizi kiduchu ya bando, michezo yetu ya Virtual inavutia kiasi cha kukufanya ujihisi kama sehemu ya mchezo. Kuanzia mbio za farasi hadi ligi za soka, furahia kubashiri michezo ya Virtual na Betway.
Je, unafahamu promosheni za Betway?
Siku zote unapata zaidi na Betway. Ukiwa mteja wa Betway utafurahia Ofa ya Promosheni kibao, uwe mdau wa Kasino au Michezo kila wakati tuna ofa kwaajili yako. Jisajili leo kwani tunaofa kem kem kwa wateja wa Betway. Promosheni zetu zina vigezo na masharti rahisi sana kushiriki, ushindwe wewe tu!