Kuanzia zawadi za pesa taslimu, Free Bet hadi safari zilizolipwa gahrama zote kuangalia timu yako ikicheza katika uwanja wa nyumbani, tuna promosheni nzuri za michezo yote hayo kwaajili yako kubashiri timu, wachezaji au ligi na Betway.
Shangwe zaidi kwenye ubashiri wako
Betway, daima tunahitaji ufurahi na tunakupa shangwe katika ubashiri wako. Ikiwa ni mteja mpya au upo nasi kitambo, kila promosheni tuna uhakika itaongeza furaha katika ubashiri wako kwa timu yako, ligi, wachezaji na michuano.
Bila kujali mchezo au msimu, mara zote kuna kitu kipya cha kusisimuaaa kinakuja. Ikiwa ni Deposit Match ukijisajili ai nafasi ya kushinda mamilion, tuna kitu kwaajili ya kila mtu na kila promosheni inakuweka karibu na mchezo.
Kuwa sehemu ya kila promosheni sio rahisi, lakini inatokea kwa wateja wote wa Betway. Rahisi tu, ukiweka mkeka wako, utakuwa umeshiriki promosheni zetu za muda mrefu kama Win Boost na Money Back Boost.
Daka TSh 100,000 kama Bonasi ya Michezo na Kasino
Ofa hii ilikwisha muda wake mnamo tarehe 28.9.2023 saa 6:00pm – Mchongo ni Ofa ya Ukaribisho. Anza sfari yako na Betway na 100% ya muamala wako wa kwanza hadi TSh 100,000 kama Bonasi ya Michezo na Kasino. Au chagua 50/50 ni wewe tu. Zaidi ukiweka TSh 3,000 au zaidi kama muamala wako wa kwanza, utajipatia Miruko ya Bure 10 kwenye Aviator.
Promosheni za muda mrefu
Kama nyongeza kwa Ofa ya Ukaribisho, tuna promosheni nyingi za muda mrefu ambazo zitakuzawadia iwapo utashinda au kushindwa.
Ongeza ushindi wa Multi Bet yako hadi 700%
Zidisha fedha zako za ushindi wa ubashiri mkusanyiko kwa hadi 700%. Kwa kila mechi yenye matumaini ya 1.2 au zaidi iliyowekwa kwenye mkeka wako wa Ubashiri Mkusanyiko, tutazidisha fedha zako za ushindi. Kadri unavyoweka teuzi nyingi zaidi, ndivyo uzidishaji unavyokuwa mkubwa zaidi.
Fedha zako za ushindi zinazozidishwa zitalipwa kwenye akaunti yako kama pesa taslimu.
Ongeza ushindi wa Multi Bet yako hadi 700%
Vigezo na masharti ya promosheni
Akaunti halali ya Betway inatakiwa ili kushiriki kwenye promosheni hii.
Fedha za ushindi zilizozidishwa zinahusika kwa kubashiriwa kwenye teuzi za kabla ya mechi tu.
Uzidishaji wa Ushindi unakokotolewa kwenye ubashiri wa ubashiri mkusanyiko wenye teuzi tano au zaidi.
Uzidishaji unaanzia 3% (kwa matukio matano) na unaongezeka kadri unavyoongeza teuzi zaidi kwenye mkeka, hadi 700%. Kadri unavyoongeza teuzi nyingi zaidi kwenye mkeka wako, ndivyo Uzidishaji wako wa Ushindi unavyokuwa mkubwa zaidi.
Kiwango cha chini cha matumaini ya 1.2 kinahitajika kwa kila uteuzi kwenye mkeka wa Ubashiri Mkusanyiko.
Teuzi zenye kiwango cha chini cha matumaini yaliyofuzu ndizo tu zitahesabiwa katika ngazi za uzidishaji. Teuzi zisizofuzu hazitahesabiwa.
Baada ya kushughulikiwa, fedha za ushindi zilizozidishwa zitawekwa kwenye akaunti yako kama pesa taslimu.
Ubashiri mmoja mmoja pamoja na ubashiri kwenye Mashindano yote hauna ustahiki kwa fedha za ushindi zinazozidishwa.
Masoko yoyote ya ubashiri yanayoweza ama kusababisha mteja kurudishiwa dau lake au kuzalisha ushindi kiasi yataondolewa kwenye fedha za ushindi zinazozidishwa m.f. Hakuna Ubashiri.
Ikiwa teuzi zitasitishwa au kubatilishwa, teuzi zilizobaki ambazo zinafuzu ndizo zitakuwa na ustahiki wa Uzidishaji wa Ushindi. Teuzi zilizobaki lazima zikidhi kiwango cha chini cha matumaini na idadi ya ubashiri inayotakiwa ili kuzawadiwa Uzidishaji wa Ushindi. Kwa hiyo uzidishaji yakini unaozawadiwa unaweza kutofautiana na kiasi cha uzidishaji kilichoainishwa kwenye mkeka halisi.
Uzidishaji wa ushindi unaoneshwa kiotomatiki kwenye mkeka wako, usipoona Uzidishaji wa Ushindi, basi hujafuzu. Hakuna uongezaji wa uzidishaji utakaofanyika kikuli.
Ukiamua kuchukua pesa mapema kwenye mkeka wako, Uzidishaji wako wa Ushindi utatwaliwa.
Tuna haki ya kufuatilia shughuli zote za mteja ili kubaini udanganyifu, uchezaji usio wa kawaida na nia mbaya. Vitendo vyote hivyo vinakatazwa na vinaweza kusababisha kutolewa mara moja kwenye promosheni.
Maingizo yote kutoka kwenye namba za simu za washiriki wasiostahiki yatakataliwa.
Hizi hapa jackpots kubwa zaidi Tanzania.
Bashiri 1X2 kwenye orodha mechi tulizozichagua za soka na mkeka ukitiki, utajishindia hadi TSh 5 bilioni. Zaidi ya hayo, kuna bonasi kubwa.
Chagua jackpot yako:
Mia – weka 100 Shinda TSh 1 milioni kwa kubashiri mechi 8
Mchongo – weka 250 Shinda TSh 80 milioni kwa kubashiri mechi 13
Bilionea – hii ndio baba lao. Weka 500 Shinda TSh 5,000,000,000 kwa kubashiri mechi 17
Ongeza ushindi wa Multi Bet yako hadi 700%
Ni jukumu lako kuangalia kama maelekezo ya Ubashiri unaowasilisha ni sahihi kabla ya kuthibitisha Ubashiri. Betway ina haki ya kukataa Ubashiri wowote kwa sababu yoyote ile.
Mechi zote za Jackpot zinaratibiwa na kuendeshwa na Betway. Kwa kushiriki mechi yoyote ya Jackpot, unakubali vigezo na masharti ambayo ni makubaliano kati yako na Betway. Iwapo kutatokea mgongano katika Vigezo na Masharti haya na Vigezo na Masharti ya Jumla, vigezo na masharti haya yanavyotumika.
Betway inaweza, kwa uamuzi wake pekee kusimamisha ubashiri kwenye mechi wakati wowote. Betway pia ina haki ya kubatilisha mechi au Ubashiri au Mechi yoyote: kusahihisha makosa yoyote; kudumisha uadilifu na usawa katika michezo ya Jackpot; ikiwa kumekuwa na mabadiliko kwenye muundo au matukio ndani ya mchezo; au ikiwa inaamini kuwa Ubashiri umewekwa kinyume na Masharti ya Ubashiri au kanuni za bodi inayosimamia michezo kubahatisha au shirika lingine linalohusika.
Wachezaji wanaweza kuchagua bashiri moja au zaidi, kila moja ikijumuisha angalau chaguo mmoja kwa kila mechi (Mf. Arsenal kushinda Aston Villa kwa ‘Ushindi wa Nyumbani’ (yaani ushindi wa nyumbani kwa bao ambalo halijaorodheshwa vinginevyo kwenye kuponi.), Liverpool kuifunga Newcastle 3-2, na Chelsea na Everton sare ya 1-1). Kila Ubashiri utatambuliwa kwa namba ya kumbukumbu wakati Ubashiri unakubaliwa.
Katika tukio la washindi wengi, zawadi litagawanywa kwa usawa. Tafadhali kumbuka kuwa washindi wanaweza kuwa kutoka mikoa tofauti kulingana na jackpot. Sheria hii haitumiki kwa bonasi. Bonasi hutolewa kikamilifu kwa washindi wote.
Katika tukio la kutokuwa na uhakika kuhusu matokeo rasmi, Betway inasalia na haki ya kusimamisha malipo ya mchezo wowote hadi matokeo rasmi yapatikane na ijiridhishe.Ikiwa mechi itaahirishwa/kubatilishwa – Jackpot Nzima itabatilishwa.
Washiriki wote wanashiriki kikamilifu kwa tahadhari yao wenyewe. Kwa kusoma Vigezo na Masharti, Mshiriki anakubali kuwa kwa hatari hizi hatodai fidia na kutowakuta na hatia Waendelezaji, Wakurugenzi, Wafanyakazi na Mawakala kwa uharibifu, gharama, majeraha na kushindwa kwa aina yoyote unaotekelezwa kama matokeo ya ushiriki ushiriki wao katika promosheni na matukio au shughuli zinazohusiana, ila pale ambapo uharibifu, gharama, majeraha au kushindwa ni matokeo ya uzembe au mwenendo mbaya wa makusudi wa Mwongozaji yoyote
Betway ina haki ya kusitisha kukamilishwa kwa Ubashiri iwapo umekamilishwa kimakosa (kwa mfano, hitilafu ya kibinadamu au ya kiufundi). Ikiwa Betway itakamilisha upya mchezo, hii inaweza kusababisha marekebisho kufanywa kwenye salio la Akaunti ya Wachezaji ili kuonyesha mabadiliko katika kukamilishwa kwa mchezo.
Mechi katika Kipindi chochote cha Jackpots itachaguliwa na Betway kwa hiari yake.
Mahitaji ya kawaida ya ushiriki na vigezo na masharti kuzingatiwa
Wasiliana nasi
Ikiwa unahitaji msaada wa akaunti yako au kuelewa namna promosheni inavyofanyakazi, kuweka pesa, kuweka mkeka, kutoa pesa kuwa huru kuwasiliana na Huduma kwa Wateja wakati wowote na watakusaidia.
Media Bay Limited iliyopo 429 Mahando Street, Masaki, Msasani Peninsula. P.O. Box 38568, Dar es Salaam, Tanzania, imepewa leseni na kusimamiwa na Wizara ya Fedha na Mipango Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Tanzania chini ya leseni Na. SBI000000037 na OC000000019. Hakuna watu walio chini ya umri wa miaka 18 wanaoruhusiwa kucheza kamari. Washindi wanajua wakati wa kuacha. Onyo: Kamari inahusisha hatari. Kwa kucheza kamari kwenye tovuti hii, unakuwa kwenye hatari ambayo unaweza kupoteza
version : 1.0.0
Pakua App ya Betway bofya kitufe husika ili kupakua