Bashiri soka na Betway
Mchezo wenye makadirio ya zaidi ya watu bilioni 4 wanaoufuatilia Ulimwenguni, soka ni mchezo maarufu zaidi na unaweza kubashiri kila tukio kwenye kali na Betway Tanzania, kampuni bora ya kubashiri michezo mtandaoni.
Ikiwa unataka kubashiri mechi za Ligi Kuu Tanzania au usafiri ubashiri mechi za Ligi Kuu ya Uingereza, Bundesliga, Ligi ya Mabingwa, Kombe la Dunia FIFA au ligi yoyote Duniani, Betway ni sehemu nzuri kubashiri. Ukibashiri nasi utapata odds bomba kwenye mitanange mikali.
Jinsi ya kubashiri soka
Betway tunapenda soka, japo haishii hapo. Sisi ni watalaamu wa kila mchezo unaofikiria. Ikiwa utapenda kubashiri kwenye mpira wa kikapu, tenisi, ndondi, esport au mchezo mwingine wowote unafikiria, basi tembelea ukurasa wa michezo na ufungue ulimwengu mpya wa burudani.
Kuweka ubashiri wako wa kwanza ni rahisi na haraka. Fuata muongozo hapo chini kuweka ubashiri wa matokeo ya mechi kwenye soka:
- Jisajili au ingia kwenye akaunti yako ya Betway
- Kutoka ukurasa wa nyumbani, bonyeza kitufe cha Soka
- Tafuta mechi unayotaka kubashiri na chagua mshindi
- Kamilisha mkeka wako
- Bonyeza Bashiri Sasa
Ni rahisi hivyo, hapo utakuwa umeweka mkeka wako wa soka kwa mara ya kwanza. Kilichobaki ni kutulia na kufurahia mchezo.
Aina za Ubashiri wa Soka na Betway
Betway tunakupatia odds nono na mechi za nyumbani na ligi za kimataifa. Unaweza kubashiri bingwa wa michuano au mechi na vingine vingi. Ikiwa kushinda mkeka wako basi hakikisha unaangalia machaguo yetu ya soka na combo:
- Double Chance
- Overs/Unders
- 1st Goal
- Both teams to score
- 1st half bets
- 2nd half bets
- Bookings
Angalia ukurasa wa promosheni kwa mbinu zaidi za kushinda mkeka wako wa soka. Betway kuna ofay ya MoneyBack Boost na Win Boost.
Bashiri ligi maarufu zaidi Ulimwenguni
Betway inakupa odds bomba katika mechi zaidi ya 1000 kutoka ligi na michuano maarufu zaidi Ulimwenguni na unaweza kubashiri yote. Hizi ni baadhi ya ligi na michuano maarufu zaidi za soka
- English Premier League
- Bundesliga
- La Liga
- Serie A
- Ligue 1
- Ligi ya Mabingwa
- Ligi Europa
- Kombe la Dunia FIFA
- UEFA Euros
- Kombe la Mtaifa ya Afrika
Ikiwa unatafuta ligi au mechi fulani, ni rahisi tumia chujio kwenye ukurasa wa soka kuona orodha ya machaguo.
Bashiri soka Live
Betway inakupa nafasi ya Kubashiri soka Live, ina maana unaweza kubashiri wakati mechi ikiendelea. Aina hii ya ubashiri inaongeza burudani zaidi kubashiri huku kuangalia soka. Sasa unaweza kubashiri waakti unafuatilia kinachoendelea kwenye mechi. Je itaongeza nafasi yako kushinda?