Bashiri michezo bora na Betway
Kutoka Kombe la Dunia hadi seti ya mwisho wa Wimbledon, unaweza kubashiri michezo uipendayo, ligi na michuano popote Tanzania. Kuanzia mwanzo hadi filimbi ya mwisho, bashiri kila tukio, mbio, ushindi, kupoteza na Kampuni bora ya kubashiri michezo Tanzania.
Jisajili leo upate odds kubwa kwenye kila mchezo chini ya jua. Kuanzia mpira wa miguu hadi mpira wa magongo hadi mpira wa kikapu, ndondi alpine skiing, utaweza kubashiri yote hii na mingine mingi zaidi. Unachohitaji kufanya ili kuingia mchezoni ni kufungua akaunti mpya.
Hii ni baadhi ya michezo maarufu unayoweza kubashiri na Betway:
- Soka
- Ndondi
- Mpira wa kikapu
- Tenisi
- Cricket
- MMA
- Esports
- Motorsports
- Water polo
Weka mkeka wako wa kwanza leo
Ikiwa ni shabiki kindakindaki ambaye unafahamu kila kitu kuhusu timu yako uipendayo au mchezo, au unataka kufanya mechi iwe ya kusisimua kidogo, Kubashiri na Betway ni haraka na rahisi mno. Fuata muongozo huu kuanza:
- Jisajili au ingia kwenye akaunti yako ya Betway
- Kutoka ukurasa wa nyumbani, bbonyeza kitufe cha mchezo unaotaka kubashiri
- Chagua soko
- Kamilisha mkeka wako na bonyeza Bashiri Sasa kuweka mkeka wako
Kumbuka, ikiwa ni mteja mpya wa Betway Tanzania, unafuzu moja kwa moja kwenye ofa ya ukaribisho ya Free Bets hadi TSh 100,000. Ni wewe tu kuchagua aidha bonasi ya michezo au kasino na ikiwa utapenda zote kuna 50/50. Bila kusahau ofa ya Miruko ya Bure 10 kwenye Aviator kwa muamala wa zaidi ya TSh 3,000.
Ni hivyo tu, utakuwa umeweka ubashiri wako wa kwanza. Cha kufanya kaa chini, tulia na furahia mchezo na shangwe lililoongezwa wa uwezekano wa kushinda pesa taslimu. Ikiwa mambo hayaendi sawa, au ungependa kudai ushindi wako mapema, unaweza kutumia fursa ya Cash Out. NI rahisi angalia kitufe cha CO mbele ya mechi ili uone ikiwa inastahili.
Huoni chaguo ambalo ungependa kubashiri? Bonyeza Bashiri Zaidi kitufe pembeni ya mechi kuona machaguo yote. Utaweza kuchuja Aina za Ubashiri au kuchagua ubashiri wako upendao.
Pakua app ya Betway
Bashiri popote kwa kupakua App ya Betway na usikose kuweka mkeka. Iwe kwenye sofa nyumbani kwako au benki ukisubiri foleni, utafurahia jinsi inavyopakia haraka, gharama nafuu za data na burudani isiyo na kikomo.
Furahia kubashiri na Betway
Betway inakupa nafasi ya Kubashiri Live yani unaweza kubashiri wakati mchezo au tukio likiendelea. Hii itaongeza msisimko zaidi katika kubashiri kwenye michezo kwani unaweza kubashiri wakati sahihi na maarifa ya ziada jinsi mechi inavyoendelea. Weka ubashiri ukijua timu ipi ipo kwenye kiwango bora na upate kichocheo cha ubashiri wako. Betway pia ina ofa kama MoneyBack Boost na Win Boost kwenye mkeka wako, promosheni hizi zinaweza kuongeza ushindi wako au kukusaidia ikiwa timu yako haichezi vizuri.
Msaada na Huduma kwa Mteja
Ikiwa unahitaji msaada kuweka mkeka wako wa kwanza, kuweka pesa, kupaku app ya Betway au tatizo lolote la akaunti, tulia tuna timu ya Huduma kwa Wateja inayopatikana na ipo tayari kukusaidia masaa 24 kwa siku, siku saba za juma, mwaka mzima.
Lakini pia tuna Muongozo kwaajili yako kufuatilia.