Hisi msisimko Betway Tanzania


Karibu Betway, Mtoa huduma anayeongoza kwa burudani mtandaoni na kubashiri michezo nchini. Kuanzia Theatre of Dreams hadi esports arena huko Ulaya na China, tuna odds bomba kwa kila mchezo kutoka kwa ligi na mashindano bora ulimwenguni.

Tunatoa ubashiri wa michezo kwenye michezo maarufu zaidi Ulimwenguni

Kutoka mashujaa wa nyumbani hadi wachezaji maarufu ulimwenguni kwenye Ligi Kuu ya Uingereza, na Betway utapata odds shindani kwa kila mchezo wa kusisimua kutoka kwa ligi zote za mpira wa miguu na mashindano kubwa Ulimwenguni. Kubashiri michezo mtandaoni na Betway ni salama na rahisi kutumia, tuna promosheni na machaguo mengi ili kufanya ubashiri wako usisimue zaidi.

Hapa burudani haina kikomo. Wakati mpira wa miguu unaweza kuwa mchezo maarufu zaidi, sio yote tunayotoa. Ikiwa una mahaba mpira wa kikapu, ndondi, kriketi, raga au michezo mingine – mikubwa au midogo – utapata kila kitu unachotafuta kwenye ukurasa wetu wa michezo

Hizi ni baadhi tu ya michezo maarufu zaidi ya kubet na Betway:

  • Soka
  • Ndondi
  • Raga
  • Esports
  • Ice hockey
  • Baseball
  • Tenisi
  • Mpira wa kikapu

Usikose. Bashiri michezo ya kusisimua zaidi ulimwenguni na mtoa huduma bora wa michezo ya kubashiri mtandaoni.

Burudani kwenye mfuko wako

Pakua App ya Betway na uwe karibu na mchezo. Mfumo rahisi kutumia, unapakia haraka na gharama nafuu za data, ingia mchezoni na vidole vyako, kubashiri hakujawahi kuwa rahisi hivi. App ya Betway inapatikana kwenye iOS na Android, ni rahisi kupakua na kuhifadhi na huleta ulimwengu wa michezo ya kubashiri mtandaoni mfukoni mwako.

App inakupa ufikiaji wa kila kitu unachoweza kupata kwenye tovuti, kwahiyo kama ikiwa kuweka pesa kwenye akaunti yako, kutoa pesa uliyoshinda au kubashiri kwa timu yako, ni hatua chache tu kwa kutumia simu yako.

Huduma kwa mteja ya viwango vya Dunia

Ikiwa unahitaji msaada katika akaunti yako – kama kuweka pesa, kubashiri live au kuona ushindi wako – timu yetu ya huduma kwa mteja inapatikana 24/7 na unaweza kutufikia kupitia ukurasa Wasiliana nasi.

Betway ni mtoaji wa burudani mtandaoni mwenye leseni kamili na iliyodhibitiwa, na tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa shughuli zote unazofanya nasi zinalindwa kwa kutumia teknolojia ya digital encryption isiyoweza kuingiliwa, tumeunda sehemu salama na iliyodhibitiwa ambapo unaweza kubashiri mahali popote, wakati wowote.

18

Media Bay Limited iliyopo 429 Mahando Street, Masaki, Msasani Peninsula. P.O. Box 38568, Dar es Salaam, Tanzania, imepewa leseni na kusimamiwa na Wizara ya Fedha na Mipango Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Tanzania chini ya leseni Na. SBI000000037 na OC000000019. Hakuna watu walio chini ya umri wa miaka 18 wanaoruhusiwa kucheza kamari. Washindi wanajua wakati wa kuacha. Onyo: Kamari inahusisha hatari. Kwa kucheza kamari kwenye tovuti hii, unakuwa kwenye hatari ambayo unaweza kupoteza


version : 1.0.0


Pakua App ya Betway bofya kitufe husika ili kupakua