Cheza Aviator na Betway
Kwa muda mfupi sana, Aviator umekuwa mchezo maarufu zaidi wa Kasino Duniani na Betway imekusogezea hadi kwenye viganja vyako. Cheza Aviator kwa simu au kompyuta na Cash Out wakati sahihi upige mkwanja mrefu.
Aviator ni tofauti na michezo ya Sloti. Unaweza kusema imeundwa na mfumo mpya wa michezo ya Kasino. Michezo hii huitwa ‘Crash Games’ na hutumia mfumo wa kutoa namba bila mpangilio, ambapo unaweka bashiri dhidi ya mchezo, huku kila raundi mpya ikiwa tofauti kabisa na iliyopita.
Ikiwa unavutiwa kucheza Aviator na Betway, unachotakiwa kufanya ni kujisajili au kuingia na tembelea ukurasa wa Aviator. Kuanzia hapo, ni rahisi kuweka ubashiri wako kabla ya raundi kuanza, ndege ikianza kupaa na Odds zinaanza kuongezeka. Chagua ni muda gani ungependa Ku-Cash Out, kisha Odds zako zitazidishwa na Dau lako. Ukitaka kuwa salama, Cash Out kwenye Odds ndogo au acha uone ndege itaweza kufikia Odds ngapi. Ikiwa ndege itasepa wakati ubashiri wako upo hai, utakuwa umepoteza na jaribu tena raundi nyingine.
Vipengele Aviator
Double Bets
Nini maana ya Double bet? Kuna vitufe viwili vilivyoandikwa ‘Weka Dau’ kabla ya kila raundi. Unaweza kutumia vyote kwa wakati mmoja. Kila ubashiri unaweza ku-Cash Our muda unaotaka. Ina maana unaweza ku-Cash Out cha kwanza na cha pili ukasubiri Odds kubwa zaidi.
Msimamo
Unafikiri nini kinatakiwa kuwa kinara kwenye msimamo wa Aviator? Hapa utaona taarifa kibao ikiwemo wateja walioshinda mkwanja mrefu, Odds kubwa iliyotoa na bashiri zako zote. Wengi wanapambana kuonekana wapo juu kwenye msimamo ili kuonyesha ni kiasi gani wameshinda au kubashiri na Betway kwenye Aviator.
Takwimu za Aviator
Mchezo wa Aviator hutoa takwimu za mchezo ambazo utaweza kuzishuhudia papo hapo wakati unacheza. Utaweza kuona matokeo na Odds kutoka kwenye raundi 60 zilizopita. Tumia taarifa hizi kupanga ubashiri wako unaofuata au acha bahati iamue safari yako inayofuata.
Michuano ya Aviarace
Mara kwa mara Aviator huandaa michuano ambayo mteja unaweza kushiriki. Michuano hii itakupa nafasi ya kuchuana na wachezaji wengine na atakayeshinda atajinyakulia zawadi ya pesa taslimu na zawadi nyingine.
Chati
Asante kwa Betway, wakati uwapo kwenye Aviator sio vyema kuwa peke yako. Katika sehemu ya Chati huwa kuna wachezaji wanaoshangilia ushindi wao au mazungumzo ya kawaida, yote haya ni kwaajili ya kukufanya uwe karibu na wachezaji wenzako na kubadilishana uzoefu.
Auto Pilot – Auto Cash Out and Auto Bet
Nini maana ya Auto Bet na Auto Cash Out? Ikiwa utapendezwa, unaweza kucheza Otomatiki kwa kuchagua kabla ya mchezo Dau kwa kila raundi na Odds kwaajili ya Cash Out wakati mchezo ukiendelea. Vipengele hivi vinaweza kutumika pamoja au tofauti na mara kadhaa hutumika kama mbinu ya kubashiri.
Kwanini wengi wanacheza Aviator?
Sio vibaya kusema Aviator ndio mchezo maarufu zaidi wa Kasino Duniani. Lakini kwanini ufungue akaunti ya Betway na kucheza? Tumekuja na orodha fupi ya sababu muhimu kwanini ucheze Aviator.
- Rahisi Kucheza: Aviator ina sheria chache na rahisi sana kwa wachezaji wapya kufurahia
- Msisimko: Mfumo wa Aviator umewekwa kuhakikisha kila ubashiri unakupa msisimko tofauti kwani hufahamu ni wakati gani ndege itaondoka.
- Malipo Makubwa: Ushindi kwenye Aviator sio wa kitoto ukilinganisha na michezo mingine ya Kasino
- Uhuru: Mchezaji ana nafasi ya kuchagua muda wa ku-Cash, iwe ni Otomatiki au bila mpangilio, bado uhuru wa ku-Cash Out upo kwa mchezaji.
- Chap Chap: Kila raundi ya Aviator inakupa msisimko wa tofauti, ndio maana raundi inayofuata inachukua sekunde chache kuanza, ili usikae kinyonge.
Cheza Aviator na Betway
Baada ya kufahamu kuhusu na Betway Aviator, ni muda wa kushuhudia mwenyewe. Tembelea www.betway.co.tz, jisajili au ingia na anza kucheza leo. Iwe ni Michezo au Kasino Betway tunakupa Ushindi Bab Kubwa kila unapoweka ubashiri nasi.