Karibu kwenye chimbo la Betgames
Enjoy msisimko usio na kifani kwenye droo za papo hapo zinazochezwa kila baada ya dakika chache kwenye tovuti ya Betway. Unachotakiwa kufanya ni kuchagua mchezo uupendao, tulia na angalia droo live. Unaweza kubashiri katika machaguo tofauti kama namba na rangi.
Kitu gani utarajie kwenye Betgames
Tuna michezo kibao ndani ya Betgames na kila mchezo unakupa machaguo mengi ili ufurahie kuweka ubashiri vile upendavyo. Michezo mbalimbali unayoweza kucheza ni: Classic Wheel, Dice Duel, Football Grid, TBasket 247, Lucky 7 na Wheel of Fortune.
Droo za michezo mingi hufanyika kila baada ya dakika tatu hadi tano. Kwa michezo ya Lucky 5, Lucky 6 na Lucky 7 droo hufanyika kila baada ya dakika tatu na michezo hii sambamba na Wheel of Fortune inauchezaji unaofanana, ambapo kunakuwa na mipira mingi inazungushwa kwenye gurudumu na mmoja unatoka. Wachezaji wanaweza kubashiri machaguo mbalimbali ikiwemo, namba sahihi, rangi, odd/even na mengine mengi.
Betway’s Aviator Rain
Usipitwe na nafasi ya kupata zaidi na Aviator Mvua. Pata taarifa za utabiri wa mvua kupitia SMS au App ya Betway ni muda gani mvua itanyesha. Cheza Aviator huku ukiangalia Chati ambapo mvua ya Free Bet itanyesha kwa wachezaji wenye bahati.