Bashiri esports
Esports zina mashabiki wengi wanaozifuatilia na hakuna shaka kwamba wamechukua Ulimwengu kwa dhoruba. Ikiwa ndio umeanza kupenda au ni shabiki wa muda mrefu katika kubashiri, Betway inakuletea burudani bora ya esport Ulimwenguni kote.
Kama wafadhili wa timu na matukio bora katika ulimwengu wa esports kama Ninjas In Pajamas (NIP), Made in Brazil (MIBR), ESL One, Intel Extreme Masters na ESL Pro League, Betway ni nyumba ya kubashiri esports.
Bashiri kila tukio kubwa la esports kutoka ulimwenguni kote, tunahakikisha kuwa tunakupa odds nono zaidi kwenye soko ili uweze kubashiri kila tukio.
Jisajili leo
Kuna jambo moja tu unahitaji kufanya kabla ya kuweka ubashiri wako wa kwanza kwenye esports, na hiyo ni kusajili akaunti mpya na kuweke pesa.
Fuata muongozo huu kuanza:
- Kutoka ukurasa wa nyumbani, bonyeza Jisajili
- Jaza taarifa zinazohitajika
- Kubali vigezo na masharti
- Bonyeza Jisajili kukamilisha
Baada ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza kwa kutumia njia zetu salama na uhakika, tutakupa 100% hadi TSh 100,000 kama bonasi ya michezo au kasino. Ikiwa huwezi kuamua, chagua 50-50 ufurahie bonasi zote kwenye michezo na kasino.
Bashiri sasa esports
Shangilia timu yako pendwa kwenye Grand Final moja ya matukio makubwa ya esport Ulimwenguni. Kushabikia ligi na timu yako pendwa ya esport inaweza kufanyika kwa hatua 5 rahisi.
Hivi ndivyo unahitaji kufanya:
- Jisajili au ingia kwenye akaunti yako ya Betway
- Kutoka ukurasa wa nyumbani, bonyeza kitufe cha esport
- Tengeneza mkeka wako au bonyeza Mikeka Zaidi kuona orodha kamili ya Machaguo yanayopatikana
- Kamilisha mkeka wako
- Bonyeza Bashiri Sasa kuweka mkeka
Huna uhakika na ulichobashiri? Tuna ofa ya masoko mengi, yote kwaajili ya kuhakikisha tunaipeleka burudani yako ya esport hatua nyingine.
Haya ni masoko maarufu ya esport:
- Matokeo ya mechi
- Kubashiri Handicap
- Mshindi wa Ramani
Tembelea ukurasa wa esport, chagua mechi unayotaka kubashiri kisha “Mikeka Zaidi” kuona masoko yote unayoweza kubashiri.
Pata Odds nono
Esports ni moja ya michezo inayokuwa kwa kasi Ulimwenguni, na uhusianio wake jamii za mtandaoni inathibitisha kuwa na nguvu kubwa. Ni kwa sababu hii ndio maana haupo mbali sana kupata odds shindani za esport mtandaoni.
Kwa kawaida huwa tunaangalia odds zetu dhidi ya waendelezaji wengine na tunafuatilia kila mashindano ili tuweze kuhakikisha kila wakati unapata odds kubwa kwa League of Legends, Dota 2, CS: GO, Overwatch, Call of Duty na esport nyingine yoyote uipendayo.
Bashiri na Betway
Bila kujali kama unapenda kubashiri esports, mpira wa miguu, kriketi, rugby, au michezo mingine maarufu, ligi na mashindano yanayopatikana kwenye Ukurasa wa Michezo, kuna kitu kwa kila shabiki.
Ikiwa unataka kutembea na bashiri zako popote uendapo, pakua app ya Betway na ubashiri michezo yote uipendayo, timu na wachezaji mahali popote na wakati wowote.