Bashiri Live Betway
Mchezo umeanza lakini bado unataka kubashiri kwenye mchezo mkubwa? Au labda unapendelea kusubiri mechi ianze kabla ya kuweka pesa zako – sababu yoyote, chaguo la Kubashiri Live linakuleta karibu na mchezo na linakupa kila kitu unachohitaji kuweka ubashiri kamili kwa wakati mzuri.
Kubashiri Live inakupa nafasi ya kubashiri machaguo mengi zaidi yenye odds zinazobadilika na kuboreshwa wakati mchezo ukiendelea. Odds hizi zinakuwa na sababu tofauti ikiwemo umiliki, majeruhi, magoli, pointi na hali ya hewa, muhimu zaidi mabadiliko haya yanakupa uelewa mkubwa wa hali ya mchezo ili uweze kubashiri wakati muhimu zaidi.
Namna ya kubashiri live
Kubashiri live na Betway ni rahisi, fuata hatua hizi:
- Kutoka ukurasa wa Nyumbani, bonyeza kitufe cha Zinazoendelea
- Chagua mchezo wako unaopendelea, ligi na aina ya ubashiri
- Chagua ubashiri
- Ubashiri wako utaongezwa kwenye mkeka ana matokeo ya mchezo unaondelea yataonyeshwa
- Kamilisha mkeka wako na bonyeza Bashiri Sasa
- Kumbuka, odds zinaboreshwa kila wakati hivyo ubashiri wako unaweza kuisha kama hautawekwa haraka iwezekanavyo.
- Ikiwa ubashiri wako utaisha, Betway itakupa odds mpya kuthibitisha kabla ya kuweka ubashiri
Bashiri michezo live
Kama unaweza kubashiri kabla mechi haijaanza, una nafasi nzuri zaidi ya kubashiri pale kipyenga cha kuanza mchezo kitakapopulizwa. Mbali na mchezo maarufu ulimwenguni kama soka, mpira wa magongo, ndondi, au tenisi, unaweza kubashiri live mchezo wowote ikiwemo:
- Ice Hockey
- Cricket
- Volleyball
- Raga
- Na mengine mingi zaidi
Tembelea ukurasa wa Live kwa orodha kamili ya kila kitu unachoweza kubashiri kama inavyotokea.
Huduma kwa mteja ya viwango vya Dunia
Ikiwa unahitaji msaada katika akaunti yako – kama kuweka pesa, kubashiri live au kuona ushindi wako – timu yetu ya huduma kwa mteja inapatikana 24/7 na unaweza kutufikia kupitia ukurasa Wasiliana nasi.