Bashiri na promosheni bora Ulimwenguni
Kuanzia zawadi za pesa taslimu, Free Bet hadi safari zilizolipwa gahrama zote kuangalia timu yako ikicheza katika uwanja wa nyumbani, tuna promosheni nzuri za michezo yote hayo kwaajili yako kubashiri timu, wachezaji au ligi na Betway.
Shangwe zaidi kwenye ubashiri wako
Betway, daima tunahitaji ufurahi na tunakupa shangwe katika ubashiri wako. Ikiwa ni mteja mpya au upo nasi kitambo, kila promosheni tuna uhakika itaongeza furaha katika ubashiri wako kwa timu yako, ligi, wachezaji na michuano.
Bila kujali mchezo au msimu, mara zote kuna kitu kipya cha kusisimuaaa kinakuja. Ikiwa ni Deposit Match ukijisajili ai nafasi ya kushinda mamilion, tuna kitu kwaajili ya kila mtu na kila promosheni inakuweka karibu na mchezo.
Kuwa sehemu ya kila promosheni sio rahisi, lakini inatokea kwa wateja wote wa Betway. Rahisi tu, ukiweka mkeka wako, utakuwa umeshiriki promosheni zetu za muda mrefu kama Win Boost na Money Back Boost.
Daka TSh 100,000 kama Bonasi ya Michezo na Kasino
Ofa hii ilikwisha muda wake mnamo tarehe 28.9.2023 saa 6:00pm – Mchongo ni Ofa ya Ukaribisho. Anza sfari yako na Betway na 100% ya muamala wako wa kwanza hadi TSh 100,000 kama Bonasi ya Michezo na Kasino. Au chagua 50/50 ni wewe tu. Zaidi ukiweka TSh 3,000 au zaidi kama muamala wako wa kwanza, utajipatia Miruko ya Bure 10 kwenye Aviator.
Promosheni za muda mrefu
Kama nyongeza kwa Ofa ya Ukaribisho, tuna promosheni nyingi za muda mrefu ambazo zitakuzawadia iwapo utashinda au kushindwa.
Wasiliana nasi
Ikiwa unahitaji msaada wa akaunti yako au kuelewa namna promosheni inavyofanyakazi, kuweka pesa, kuweka mkeka, kutoa pesa kuwa huru kuwasiliana na Huduma kwa Wateja wakati wowote na watakusaidia.